Tuesday, January 1, 2013

WAZIRI WA UTAMADUNI AKUTANA NA VIONGOZI WA WASANII

toka kulia;Che (mwenyekiti chama cha muziki asili) Saimon Mwakifamba(rais shilikisho la filamu ),Bahati Bukuku na Upendo(wanamuziki wa injili)

toka kulia: Msanii Kitale, Che Mundugwao na Samuel(mjumbe bodi ya shilikisho la muziki  Tanzania)katika picha ya pamoja baada ya kikao na Naibu waziri  wa Habari,Utamaduni,michezo na Vijana Mh.Amos Makala

Che Mundugwao na Alex Msama wakijadili jambo baada ya kikao pembeni ni Rais wa TAFF Saimon Mwakifamba

Che Mundugwao wakiwa na Naibu waziri  wa Habari,Utamaduni,michezo na Vijana Mh.Amos Makala  wakipiga picha ya ukumbusho baada ya kikao cha  mikakati ya ulasimishwaji kazi za wasanii ndani ya chumba  ofisini kwake

Baada ya kazi napenda kupata chai yenye mchanganyiko wa majani halisi ya mchaichai na asili mbichi


No comments:

Post a Comment