Wednesday, December 5, 2012

ABDUL''DUDU'' WA MAISHA PLUS AJIUNGA NA NGOMA ZA ASILI

Mshindi la Maisha plus 2010 Abdulhalim ''dudu' Salum akiwa na wasanii wa kikundi cha wagogo-NJEMBE na wasanii wa MBEGA Arts, hapo wakiwa kijiji cha Makumbusho Kijitonyama Dar es salaam.

Msanii Abdulhalim''dudu'' akiwa na ala ya firimbi na vazi la rubega na kofia maridadi ya manyoya ya mbega

Sanaa ya uchoraji mwilini TATOO umeeneza zaidi ughaibuni hapa bint wa kihungaria  muhudumu wa mgahawa  katika jiji la Budapest Hungary akinionyesha tatoo yake sehemu ya mkononi 

kwa karibu zaidi unaona amechora nyoka alisema yeye anapenda nyoka tu

No comments:

Post a Comment